Social Icons

Sunday 10 February 2013

WASHIRIKI WA MISS UTALII TANZANIA 2012/13 , WAPAGAISHA MASHABIKI WA AKUDO MSASANI BEACH CLUB USIKU HUU!



 Washiriki wa Miss Utalii wakiwa wanacheza Sebene la nguvu kutoka kwa Akudo usiku huu

 Hapa kila mmoja anaonesha uwezo wake wa kudance
 Sasa hapa kiduku kinakaribia kuanza 
 " Cheza Kiduku " Tazama hapa warembo wanavyo cheza Kiduku kwa Aina yake
 Hapana Chezea ma Miss wewe , yani hapa full kudance Mambo ya Akudo
 Huyu ni Rapa na Mwimbaji wa Akudo akifanya mambo yake ya kuimba kwa ustadi wa hali ya juu
 Mpiga Ngoma pia mwimbaji akifanya mambo hapa ya nguvu
 Ebwana eeh Hapa Gitaa linachalazwa mpaka basi
 Ngoma zinapigwa mpaka basi
 Bado wapo hapa warembo wakicheza Sebene la nguvu
 Huyu Jamaa ni Hatari sana anapiga gitaa saana 



Sasa Vijana hapa Nao wa Akudo hawakuwa Nyuma wametoa sapoti kubwa kwa Ma miss baada ya kucheza Ngoma kwa Bidii zote. 

No comments: