Social Icons

Monday, 27 May 2013

LADY JAYDEE AKIWA MAHAKAMANI,KESI YAKE YAHAIRISHWA MPAKA TAR 13 JUNE,TAZAMA HAPA


 
Lady Jay Dee akiwa na mumewe Gardner Habash wakisuburi kesi kutajwa katika Mahakama ya Wilaya ya Kindondoni leo asubuhi saa tatu.  
 
Mwanamuziki Judith Wambura-Habash --Lady Jay Dee-- alifika katika mahakama ya Kinondoni leo kama ilivyotakiwa kwa mashitaka aliyofunguliwa hapo. Baadaye amefahamisha kuwa ameambiwa ardui tarehe 13 Juni 2013.
 
Kesi imetajwa tena tar 13 June 2013. Saa 5 asub.

No comments: