Social Icons

Tuesday, 4 June 2013

SHEREHE YA KUTIMIZA MIAKA MIWILI YA BABY ADRIANA , ILIKUWA BONGE LA PARTY, FOREST MPYA MBEYA

 Mama mzazi wa Adriana Helieth akiwa bize na Maandalizi ya awali hapa
 Mama Mdogo wa Adriana nae upande wa Kulia akiwa bizeee sana


 Happy time watoto wapo bizeee

 Hii ndiyo Keki ya bby


 Baby Adrina akiwa anaimbiwa wimbo


 Hapana Chezea baby Adriana wwe... Mcheki hapa
 Mama akaona ampe tafu mtoto


 Ahaa mama mdogo nae yumooo
 Kila mtu anawaza kuchukua Taswira za ukumbusho
 Katikati ni Mama mkubwa wa Adriana
 Mama akimlisha mtoto Adriana
 Adriana akasema na mimi naweza Baba Mdogo nae alikuwepo
Libeneke hili linatoa pongezi nyingi sana .

No comments: