Social Icons

Monday, 29 July 2013

Happy Birthday to Me


Leo ni siku ya kumbukumbu ya Kuzaliwa kwa Fredy Anthony  Head of Group Research and Product  Development wa Tone Multimedia Group  ambao ni wamiliki wa Mtandao huu wa Mbeya yetu pamoja mitandao Mengine Tone Radio-Tz , Blogs za Mikoa Tanzania , This day Magazine , Tanzania Tour Information Centre , Tone Tube , Mtandao wa wanafunzi Tanzania(Matukio na wanavyuo) , Pamoja na mtandao wa watanzania waishio nje ya Nchi
Mitandao yote imetengenezwa na yeye mwenyewe pia ni Juhudi zake zimempelekea kuja na mawazo pamoja na ubunifu mkubwa wa  kuanzisha mambo yote haya ikiwa ni pamoja na kushirikiana na Timu nzima ya TONE ambayo imekuwa ikifanya kazi zake kwa pamoja.
Pichani ni Fredy Anthony

Tone Multimedia Group inaungana na wadau wao wakubwa kutoka Duniani kote ambao wameendelea kufuatilia na kusoma habari  pamoja na mambo mengine mbalimbali, kumpa hongera Fredy Anthony kwa  kukumbuka siku yake ya kuzaliwa, kwa pamoja wanamtakia maisha Marefu  na afya njema.
Fredy anthony akiwa pamoja na Mmiliki wa mtandao wa Wikipedia Jimmy Weles katika moja ya Mkutano mkubwa wa mabadiliko ya Sayansi na Teknolojia.

Pia Tone Multimedia Group inampa hongera sana kwa Juhudi zake kubwa za kuendelelea Kubuni  vitu vipya na vya kipekee katika maisha ya sasa ya DOT COM (.COM) au WEB 2.0 ambavyo ni Faida kwa wananchi na Taifa kwa ujumla na kumtaka aendelee kuwa mbunifu zaidi na zaidi bila kulaza Damu na kuchapa kazi zaidi.

Imetolewa na Utawala
Tone Multimedia Co. Ltd

No comments: