Kila mtu anapenda kutakiwa Heri ya siku yake ya Kuzaliwa .. kwa sababu ni moja ya matukio Muhimu katika Jamiii.. Hii inayo tuzunguka..

Neno.. Hongera ni muhimu sana.. Nachukua nami ka nafasi haka kadogo kukutakia Hepi Bethidai kwako.. kwa siku yako ya kuzaliwa... Mungu akupe maisha Marefu zaidi.....
Says,
Fredy Tony
No comments:
Post a Comment