Ni muhimu kukumbuka siku ya kuzaliwa kwa maana ndio unayo ifahamu na unayo iona kila siku za mwaka na siku hiyo inapofika, lakini ni Ngumu sana kukumbuka siku ya kufa kwa sababu wewe hautaijua wala kusherekea kwa sababu utakuwa haupo Duniani na ndio maana Tunakumbuka siku zetu za kuzaliwa.
Leo ni Hepi Bethidei ya Rafiki yangu sana... Anaitwa Regina pichani.... Kimsingi mimi sitakuwa na maneno mengi sana, lakini napenda kumtakia maisha mema na marefu, pia ampe afya njema na aendelee kutimiza zile ndoto zake zote alizo zipanga na zipate kufanikiwa kabisa.....
Mwisho kabisa natambua kuwa wengi wameacha ujumbe kwa njia moja ama nyengine basi nami nimeona nifunge aya kwa ujumbe huu....
"A friend is someone who understands your past,
believes in your future, and accepts you just the way you are
even if you are getting older. Happy Birthday Regina."
believes in your future, and accepts you just the way you are
even if you are getting older. Happy Birthday Regina."
Says
Fredy Tony 2013
No comments:
Post a Comment