Mdau Neema Mwangwala akitunukiwa Nondoz yake ya MBA Human Resources Management
Akiweka Kofia yake safi kabisa tayari kwa kuendelea na Majukumu mengine
Mdau Neema Mwangwala akipewa mkono wa Pongezi huku akikabidhiwa Cheti chake
Ndio Gamba tena hilo .. saafi kabisa.....
Hapana Chezea Mahafali wewe....
Happy Moment..
Mwendo wa Kupendeza tuu
Picha zote kutoka kwenye Face Book ya Neema Mwangwala.
No comments:
Post a Comment