Siku zote kila mtu hungoja kwa hamu sana kuona ile siku yake ambayo ndiyo anakumbuka ya kuwa alizaliwa ifike.. Hii ni kwa sababu nyingi sana ambazo kimsingi kila mtu anazo yeye mwenyewe Moyoni mwake.
Leo ni siku Kumbukumbu ya Kuzaliwa ya Blogger Mwenzangu.. Dada yangu na Rafiki yangu pia..
Napenda kukupongeza sana kwa siku yako ya Kuzaliwa na Mungu akuzidishie zaidi Maisha Marefu na afya Njema,... Ile Mipango yako yote uliyo ipanga ukapate ikamirisha...
Huu ni mwaka wako mpya Mwaka wa Mafanikio
Ili kupata kuona Kazi zake na Blog yake nzuri sana Bofya hapa chini

No comments:
Post a Comment