Social Icons

Thursday, 3 July 2014

HIVI NI KWELI KUTABASAMU AMA KUCHEKA KUNAONGEZA SIKU ZA KUISHI?

Ni Swali ambalo najiuliza sana siku zote kuwa  watu wengi sana wanasema kwamba mtu anapo tabasamu ama kucheka anaweza kuongeza siku zaidi za kuishi, kwa kweli kama ni hivyo watu wanatakiwa kutabasamu sana na kujifunza Kucheka . 

Mfano mzuri nilikuwa natazama Picha ya Binti hapa akiwa anatabasamu sasa nikajiuliza tena je ameongeza miaka mingapi ya Kuishi Mbele?

Naombeni Mchango wenu wa majibu wadau.. kwa wanaojua.

No comments: