Kushoto ni Janise Maluli Mwanamitindo huyu wakati wa uzinduzi wa Oriflame Bidhaa kutoka Sweden
Yes hapa nikiwa na Pozi zangu
Kama kawa Baada ya kazi na mimi nasikiliza kinacho endelea baada ya kazi
Nikiwa na Mtaalam wa Mapicha mtu wangu wa Nguvu Zainul hapa tukipata Pichaz
Si mbaya sana kupata ukodak wa nguvu maeneo ya Nje ya tukio
Ukodak tuu hapa.
No comments:
Post a Comment