Ilikuwa baada ya safari ndefu sana kutoka Tanzania hadi Mzuzu Malawi. Mzuzu whadi Lilongwe ambapo nilikuwa nimeshikiria usukani kwa makini. Hata hivyo nilichoka nikaona bora kupumzika kuvuta pumzi
Hapa nikiwa nimekula zangu pozi huku nikiwa sina hata mawazo maana ukiwa na mawazo eneo kama hili utakuwa haulitendei haki kabisa kabisa so mimi nilichil tuu
Hapa mapumziko tuu ndani ya Jiji la Lilongwe
Safi sana kama ukijua umuhimu wa kupumzika utakuwa na amani sana
No comments:
Post a Comment