Kushoto ni Mtumishi wa Mungu mwenye upako wa aina yake Pastor Ken hapa nikiwa nae katika picha ya pamoja.
Humu Duniani tunapita lakini tunahitaji sana Nguvu ya Mungu na Damu ya Bwana Yesu hivyo lazima kila jambo unalofanya umshirikishe Mungu.
Sasa basi watumishi pia wana nafasi yao katika kutusaidia .
Hakika Mungu anaweza Barikiwa kila mmoja unaye mtumikia Mungu
Amen
No comments:
Post a Comment