Siku zote unatakiwa kufanya kazi kwa moyo na Sio kwa kusukumana hivyo basi mimi pia nipo katika mkondo huo nafanya kazi zangu kwa kulidhika kwa sababu ni kazi nayo ipenda .. hapa nikiwa nimetulia nakamua kazi zangu.
Technology ni ku relax hapa nipo nafanya kazi kwa upole bila mashaka kazi kwenda mbele . Kijana mwenzangu nakushauri fanya kazi usingoje kuajiriwa
Ukifanya.kazi sana utaona matunda yake.
No comments:
Post a Comment