Hiki ni kinywaji safi kabisa yani kinaitwa Dragon kinapendeza sana ukipatia na mdudu si kitoto aisee
Hapa huyu mdudu si mchezo ni mtamu balaa hapa yani tayari alikuwa amewiva safi kabisa na ugali mgumu mpaka swadata . Dah Jamaa wa mbeya wanakipika
Jamaa hapa nilikuwa nahakikisha anakipima sawa? hii ni kilo moja na nusu safii kabisa
Kitu ndio hiki hapa kimeiva poa kabisa.. sasa.ilikuwa ni mwendo wa cheka na meno.
Haya karibieni..
No comments:
Post a Comment