Social Icons

Sunday, 5 October 2014

HII ILIKUWA MAPUMZIKO BEACH WAKATI NIKIELEKEA MALAWI..

Hii si Matema ingawa ni ukanda wa ziwa Nyasa.. hakika nilifurahi kupata fursa ya kuwepo hapa ziwa nyasa lakini upande wa malawi, watu wa huku walikuwa na amani sana..

Hapa ndipo napo waletea somo ambao mlikuwa hamjui kuwa utalii sio lazima ukatazame mbuga za wanyama

Utalii sio lazima uende sehemu ambayo unadhania ukifika hapo ndio utakuwa umetalii kumbe utalii ni wewe mwenyewe tuu..

Mfano mimi hapa kwangu ulikuwa ni utalii wa aina yake nikiwa kipande cha Malawi... Huree.

Pichani nikiwa nafanya yangu

Hapa nilikuwa nipo Katika jiwe moja zuri sana
Ukitazama hapa huu ni mmoja ya mitumbwi ambayo hutumika kwenda kuvulia samaki halika niliinjoy sana
Wewerre hapa niliweza kuingia lakini sasa kutoka kulikuwa na shida yake lakini nilifanikiwa
Ukodaki time


No comments: