Watu wamekuwa wakidhania kwamba hii whatsapp itakuwa bure kila siku na kujisahau kuwa kuna siku yaja watatakiwa kulipia ..
wamekuwa waki ongeza muda tuu kutuvuta hakika ofaa hii ikiisha wengi wataichukia whatsapp wengi watasema ooh wanataka pesa hawa jamaa.. je hujiulizi umetumia huduma bure kwa muda gani mpaka.sasa...
Of koz inderectly unalipia kupitia bundle lakini directly ndo utaanza lipia service...
Kama unavyo ona picha hapo nimelipia service kwa miaka mitano so nipo huru na whatsapp ...
Jipange na ulipie sasa..
No comments:
Post a Comment