Social Icons

Tuesday, 31 March 2015

HATIMAYE NA MIMI NIMEJIUNGA RASMI NA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF KUPITIA MPANGO WA UCHANGIAJI WA HIARI (PSS)

Hapa nikiwa ninaweka dolegumba kwa ajili ya kujiunga na PSS. Ambapo sasa nimekuwa mwanachama halali wa PSPF
Hapa tukiwa katika Ziara ya kikazi ambapo iliwahusisha waandishi wa habari wa Blogs pamoja na Watangazajibwa Clouds FM Makao makuu ya PSPF
Kipindi cha maswali na majibu

Ziara ya leo ambapo nikiwa mmoja wa waliochaguliwa kuhudhuria ziara ya kikazi makao makuu ya PSPF leo nimejifunza mengi lakini kubwa kuwa mwana familia rasmi wa mfuko huo. Jamani mambo yapo huku jiunge sasa

No comments: