Social Icons

Tuesday, 31 March 2015

Nikiwa katika eneo la kutunzia kumbukumbu na Kitengo cha Huduma kwa wateja katika Mfuko wa Pensheni wa PSPF

Hapa nilikuwa moja kwa moja eneo ambalo kumbukumbu ya wanachama wa PSPF yamehifadhiwa. Hili ni eneo la kisasa na kitaalam kabisa.
Hapa tukipata somo la nguvu kabisa juu ya utunzaji wa kumbukumbu
Hapa tukipata maelezo ya kina katika kitengo maalum.cha huduma.kwa wateja . 

Kwa hakika usingoje kuambiwa jiunge na mfuko wa pensheni.wa PSPF

No comments: