Social Icons

Tuesday, 31 March 2015

NILIPATA WASAA WA KUFIKA AKEMI KUPATA LUNCH NA WANAHABARI WENZANGU

Hapa nilikuwa katika meza yetu ambayo ndipo tulikuwa tumeandaliwa kwa uzuri kabisa 
Hii ndio ilikuwa menu yangu dah yaani hapa palikuwa pana pweza, kuku,.samaki moo. Yani mambo kibao sana kwa uhakika menu ilikuwa ya ukweli sana. Jamaa wapo vema sana.
Supu ya stater hii ilikuwa tamu sana pembeni boflo ya kisasa .. ukilalamika tumbo hapa utakuwa unashida ..
Hii ndio sehemu.ya Mgahawa wa Akemi

Basi wasomaji wangu wa ukweli hapa leo ilikuwa ni bowmber ..
 

No comments: