Social Icons

Saturday, 28 March 2015

KAMA HUKUCHEZEA HIZI KATIKA MADUNGU , BASI WW NI WA 1999'S

Dah katika pita pita zangu huko pori moja jijini mbeya juzi kati nilikumbana na huu mmea.. nakumbuka miaka ya 1990 
Watoto wengi waliokuwa wakikuwa miaka hii ya 1990 walikuwa hawana gharama za kununua golori kwa ajili ya kuchezea madungu tulikuwa tunatumia izi . Sasa watoto wa dijitali hata hawajui.Zinapo patikana.hizi kitu.

No comments: