Social Icons

Saturday, 28 March 2015

TULIPATA WASAA PAMOJA NA KAKA JOSEPH KUTEMBELEA KABURI LA MZEE WETU JOHAN J. MWAISANGO.

Hapa mimi pamoja na kaka Jose tukiwa katika kaburi la mzee
Kaka Joseph akiwa katika kaburi la mzee
Nikiwa katika kaburi la mzee J. J. Mwaisango 
Tayari miaka 13 Imepita tangu Mzee wetu atangulie. Mungu ailaze Mahali pema Peponi Roho ya Marehemu.

No comments: