Social Icons

Monday, 23 March 2015

Mwaka 1997 nilijaribu kuwachora hawa jamaa

Miaka hiyo ya 1997 nikiwa form one dah hawa jamaa walikuwa wakinikosha sana mimi hasa ngoma zao, hapa nilikuwa nikijaribu mchora Ice Cube, Snoop Dog na Dr Dre zamani enzi zao...

No comments: