Social Icons

Monday, 23 March 2015

Zamani hizo haya maua niliyatumia sana katika kuwaduzainia watu kadi hasa kipindi cha Valentine

Yes nakumbuka sana enzi za Form one mpaka form four nimechora sana hizi picha za malavi davi valentine maua na mambo kama hayo. Huu hapa ni mfano wa maua nliyokuwa nikiwacholea watu.kibao akina Masache, Handel, Zawadi, Mbwilo , na wengine wengi jero tuu bonge la kadi anapata A4 .. So kipaji kilikuwa kinalipa sana.

Picha na Fredy Njeje

No comments: