Katika maisha ya ujana tunapitia mambo mengi sana mabinti na akina kaka.
Sasa soma hii kwa makini sana.
Tinkwa na Trazin walikuwa ni watu ambao wanapendana sana kila mtu alipenda mahusiano yao wakiwa kila mahala waliongozana pamoja kama kumbikumbi hawakuweza achana popote pale.
Wote walilidhia kwa moyo mmoja kwamba watakuja kuishi pamoja kama mume na mke.
Siku zilizidi kwenda baada ya miaka miwili Tinkwa akampa Mimba Trazin na wakaja zaa mtoto anaitwa Trochic , wakaona si vema bora waje bariki ndoa maana saaa wana mtoto kabisa
Siku zilifika ambapo kijana alitakiwa kwenda toa mahali akajiandaa poa kabisa akachukua jamaa zake na ndugu zake kwenda toa mahali.
Hii ilikuwa siri hakutaka mtaja mpenzi wake kwa wazazi na ndugu wa karibu ilikuwa ni sapraiziiiii.
Siku ilipowadia walifika kwa binti wanaingia tuu..
"My Godness Mwanangu"...... Akadondoka chini na kupoteza fahamu... Kumbe walikuwa ni kaka na dada wa Damu moja
Je kama ww ungefanyeje karibu kwa maoni....
Usikose nakuandalia mambo mengi zaidi hapa...
By Fredy Tone Tony
No comments:
Post a Comment