Social Icons

Wednesday, 17 June 2015

Nikiripoti Moja kwa Moja kutoka Ukumbi wa Mlimani City leo wakati wa Sherehe ya Ukomo wa Matangazo ya Televisheni kwa Mfumo wa Analojia Tanzania na Dunia nzima. Hongera Tanzania Hongera TCRA

Hapa nikiwa najiandaa vizuri kuzimwa rasmi kwa matangazo ya Televisheni ya Analojia. 
Baadhi ya viongozi na wageni waalikwa katika Sherehe hizo
Brass Band kutoka Jeshi la Polisi walitoa Burudani Maalum na ya aina yake
Mgeni Rasmi Makamu wa Rais Dkt. Bilal akitangaza Rasmi Ukomo wa Matangazo ya Televisheni  kwa mfumo wa Analojia , ambapo si Tanzania wanazima bali Dunia nzima.

Hongera Tanzania.

No comments: