"Haukuwa uamuzi rahisi.. Kamati Kuu ilifanya utafiti kwa vikao vingi na
mashauriano. Tafiti zilituambia kuwa Edward Lowassa akipeperusha bendera
ya Chadema/UKAWA,
ndoto ya mabadiliko makubwa nchini itatimia. Kwa Kauli moja, Kamati Kuu
iliridhia Edward Lowassa awe mgombea kwa Chadema na baadae tukawauliza
wenzetu wa UKAWA kama wanakubali ama kukataa. Wajumbe wote akiwemo
Katibu Mkuu Dr W Slaa waliridhia... baadae kuna watu labda wakamshauri
vingine...
" - Freeman Mbowe.. Mwenyekiti Taifa wa CHADEMA
Mkutano Mkuu wa CHADEMA umempitisha Edward Lowassa kuwa Mgombea Urais
na mgombea mwenza Duni Haji, hatimaye kuwa wagombea wa UKAWA.
CHADEMA imewapokea rasmi na kuwakabidhi kadi viongozi kadhaa mashuhuri waliokuwa CCM na ambao wamejiunga na CHADEMA.
CREDIT:HABARI TANZANIA.

No comments:
Post a Comment