Social Icons

Wednesday, 21 October 2015

JUST IN: MAGUFULI AWASILI JIJINI DAR ES SALAAM MUDA MCHACHE ULIOPITA , AONGEA NA WANANCHI WA KITUO CHA MABASI CHA UBUNGO MCHANA HUU

Ikiwa una Tukiko lolote la Harusi,Msiba, Mahafali, Tamasha, Matangazo au Habari yoyote usisite kututumia kupitia whatsapp 0765056399 au Barua Pepe fredynjeje@live.com.

Mgombea Urais Kwa Tiketi ya CCM John Pombe Magufuliakizungumza na wananchi wa Kituo cha mabasi cha Ubungo muda mchache uliopita


Ipikuwa pata shika
Kila mtu anataka kumuona hapa
Usikose vuideo yake

Picha na Fredy Njeje wa Fredy Njeje Blog

No comments: