Social Icons

Friday, 15 January 2016

LINEX -SIJAOA

Ikiwa unataka tengenezewa Blog, Tukiko lolote la Harusi,Msiba, Mahafali, Tamasha, Matangazo auHabari yoyote usisite kututumia kupitia whatsapp 0765056399 au Barua Pepe fredynjeje@live.com. Follow me instagram @officialfredynjejeblog Twitter @Fredynjeje
Mwanamuziki maarufu wa bongo fleva nchini Sande Mangu a.k.a Linex amekanusha viklali kwamba hajaoa
Linex ameyabainisha hayo alipokuwa anafanya mahojiano katika kipindi cha 5 Select kinachorushwa na kituo cha EATV.


''Mimi sijaoa bwana si unaona hata mikono yangu haina pete ile picha tuu ,ni kava la nyimbo yangu nitakayoiachia hivi karibuni''

Hata hivyo Linex amesema kwamba hatakaa muda mrefu tena bila kutoa ngoma kwani mwaka huu ni mwaka wa kazi kama ilivyo kauli mbiu ya kila eneo kwa sasa.


No comments: