Social Icons

Monday, 8 February 2016

Chui azua taharuki India ajeruhi watu 6

Ikiwa unataka tengenezewa Blog, Tukiko lolote la Harusi,Msiba, Mahafali, Tamasha, Matangazo auHabari yoyote usisite kututumia kupitia whatsapp 0765056399 au Barua Pepe fredynjeje@live.com. Follow me instagram @fredynjejeblog Twitter @Fredynjeje


Watu sita wanauguza majeraha baada kushambuliwa wakijaribu kumdhibiti chui aliyekuwa ameingia kwenye shule ya Vibgyor nchini India

Watu hao walikubwa na maswaibu hayo baada ya kujaribu kumzuia chui huyo ndipo alipoanza kuwarukia na kuwauma huku watu wengi wakikimbia kuepuka kadhia hiyo.
Chui huyo mwenye umri wa miaka nane baada ya kukamatwa alichomwa sindano na kumfanya atulie na baadae aliachiwa na kurejea porini.

Kwa mujibu wa sensa ya wanyama mwitu iliyofanywa majuzi nchini India inakadiria idadi ya chuo kuwa kati ya 12,000 na 14,000.

No comments: