Social Icons

Monday 29 February 2016

MBUNGE WA KAWE HALIMA MDEE ATUPWA RUMANDE

Ikiwa unataka tengenezewa Blog, Tukiko lolote la Harusi,Msiba, Mahafali, Tamasha, Matangazo auHabari yoyote usisite kututumia kupitia whatsapp 0765056399 au Barua Pepe fredynjeje@live.com. Follow me instagram @fredynjejeblog Twitter @Fredynjeje
 Mbunge wa Kawe, Halima Mdee akiwasili katika Kituo Kikuu cha Polisi jijini Dar es Salaam leo kwa ajili ya mahojiano kuhusiana na tuhuma za shambulio la mwili kwa Katibu Tawala Mkoa wa Dar es Salaam, Theresia Mbando. Mbunge huyo alinyimwa dhamana na kutupwa rumande. (Picha na Francis Dande)
Halima Mdee (katikati) akiwa na mbunge wa Bunda, Ester Bulaya (wa pili kushoto) pamoja na wafuasi wa Chadema wakati akielekea mahabusu. 
 Mbunge wa Kawe, Halima Mdee akisindikizwa na Ofisa wa Polisi, nyumba yake aliyeshika faili kuelekea mahabusu baada ya kunyimwa dhamana katika Kituo Kikuu cha Polisi jijini Dar es Salaam leo.
Mwanasheria wa Mbunge wa Kawe, Halima Mdee, Prof. Abdallah Safari ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, baada ya mbunge huyo kunyimwa dhamana. 

No comments: