Social Icons

Monday, 22 February 2016

NILIPOPATA NAFASI YA KULA VIBAMA MITAA FLAN HUKO MBOZI KIJIJINI MAMBO YAKAWA HIVI

Ikiwa unataka tengenezewa Blog, Tukiko lolote la Harusi,Msiba, Mahafali, Tamasha, Matangazo auHabari yoyote usisite kututumia kupitia whatsapp 0765056399 au Barua Pepe fredynjeje@live.com. Follow me instagram @fredynjejeblog Twitter @Fredynjeje
Hapa nikiwa katika kijiji flan Amazing huko kwetu Mbozi ambapo nilikutana na Bwana mdogo akaniuzia Vibama Kibao nikaoni ni Show Love Flan kwanza 


 Ebwana eeeh asikwambie Mtu humu kuna vibama kibao katika ndoo hii yenye ujazo wa lita kumi, Huyu aliyetengeneza kwa hakika alipika kwa kiwango cha Juu sana si kimataifa lakin kwa ngazi kubwa ya Kijiji
 Sasa Hapa Dogo ameanza kunihesabia vile ambavyo mimi nimevinunua duuu... nilianza kwanza na kumi na tano nikaona havitoshi nikwamwambia dogo aongeze mapaka kufikia 25.......  hapa alikuwa tayari kahesabu vitumbua 9..... 

Kweli tembea uone mimi ni mzurulaji sana kwa kweli na kila sehem nayo gusa napenda kujua na kufahamu mawili matatu hapa kweli nilipita na nikapata kibama bwana eeh kitamu hatari... sikia ukitembea jitahidi na wewe uwe unakula vitu vya eneo lile ni Amazing sana 

No comments: