Social Icons

Friday, 20 May 2016

SELFIE NA MAAJABU YAKE: JIULIZE KWANZA KWA NINI SELFIE KISHA TAZAMA HAWA JAMAA WAKISELFIKA KILA MTU NA STYLE YAKE

Ikiwa unataka tengenezewa Blog, Tukiko lolote la Harusi,Msiba, Mahafali, Tamasha, Matangazo auHabari yoyote usisite kututumia kupitia whatsapp 0765056399 au Barua Pepe fredynjeje@live.com. Follow me instagram @fredynjejeblog Twitter @Fredynjeje
Jamaa akaamua kujiselfisha na Marehemu je wewe unaweza hii na kwa nn?


 Nae huyu sijui kimepata nn akaamua kujiselfisha ......
 Sasa haya mambo ni Too much hii picha sijui alikua na lengo la kuipeleka wapi
 Mshikaji hapa nae anaacha mambo yake anakuja jiselfishaa
 Hizi sasa sijui ni Bangee ama nini wewe utapata jibu lakini ndio mambo ya kuselfikaaa
 HAhahaaaaa.... Polisi kabaki tuuu anashangaa daaaah selfikaz
 Mama baada ya kuendelea kupika sasa yeye anaselfika
 Sijui kama lilikuwa jambo zuri hapa lakini jamaa anafurahia kweli
 
 Kwa hakika Selfika selfika lakini jiulize kwa nn unaselfikapo??

No comments: