Social Icons

Thursday, 12 May 2016

UJUMBE "FANYA KAZI ILE AMBAYO UNAIWEZA KWA UMAKINI"

Mara zote ukitaka upate mafanikio fanya yale mambo ambayo unaona wewe unayaweza kwa undani. 
Usifanye jambo kwa kulazimishwa ni hatari sana 
Unatakiwa fanya kile moyo wako unataka. 
Pia usisahau kuwa sio kila mtu anapenda ufike pale unapopataka 
Na si wote wanaopenda kuona unashindwa wataendelea kukupa moyo zaidi na zaidi ndio maisha...
Songa mbele Muombe Mungu utafika

No comments: