Social Icons

Friday, 3 June 2016

Jembe Lengu Pembeni sasa ni Kazi Tuu

Yes sikuzote mimi hupenda vitu vidogo lakini vyenye Ubora mkubwa.. kwanza napenda sana kumshukuru dada yangu mpendwa Shamim Mwasha wa 8020 alikuwa kila akiniona na ka kamera kaduchu ananisema sana kwa kweli.. 
Any ways kwa mwonekano utazania kuwa ni ndogo lakini hii ni camera kama zile zengine kubwa sema bodi yake ni slim... 
Kwa haya machache sasa ni kazi kwa kwa kasi tegemeeni matukio kibao toka hapa ..
Picha na Fredy Njeje

No comments: