Social Icons

Friday, 3 June 2016

Nikiwa nafanya majaribio ya Jembe langu

Siku zote mimi napenda Natural Beauty.. watu wengi huwa wanajiuliza sana kwa nini napiga picha kama hizi? Jibu ni moja tuu napenda sana kupiga picha so kitu chochote nachokiona kinavutia machoni pangu huwa naona na wengine kitawavuta . Picha hii nilipiga kwa wewe mtu wangu uitumie kama background yako
Huu mti bado ni mdogo sana, niliupiga tuu
Hapa nilikuwa najaribu tuu kuona jinsi gani hili Jembe linapiga mzigo

Picha na Fredy Njeje

No comments: