Mmoja
ya watoto akishiriki katika kuadhimisha siku ya mazingira Duniani kwa
kuendesha Baiskeri kwa lengo la kuhamasisha utunzaji bora wa mazingira.
Baadhi ya walemavu wakiwa katika matembezi hayo ya Baiskeri kwa lengo la kuhamasisha utunzaji wa Mazingira
Wadau
mbalimbali pamoja na wanachama wa UWABA wakipita Mtaa wa Ohio Jijini
Dar es salaam kuelekea Mnazi mmoja ambapo ndipo eneo ambalo walifanyia
hafla fupi ya Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani
Wakipita Mtaa wa Lumumba kuelekea Mnazi mmoja ambapo ndipo walifanya Hafla fupi ya maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani
Mwenyekiti
wa UWABA Mejah Mbuya akitoa neno la Shukurani kwa wote walioshiriki
katika maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani kwa kuzunguka na
Baiskeri zao maeneo mbalimbali Jijini Dar kwa lengo la kufikisha ujumbe
wa utunzaji Bora wa Mazingira, pia alisisitiza swala la kuwepo kwa
barabara za wapanda Baiskeri
Balozi
wa Umoja wa Ulaya (EU) Nchini,Roeland Van de Geer akitoa neno la
kuwapongeza wote waliofanikisha kuadhimisha siku ya Mazingira Duniani
kwa kutoa ujumbe wa kutunza mazingira kwa kupitia kuendesha Baiskeri.
Baadhi ya zawadi ambazo walipata washiriki wa kuendesha Baiskeri
Walioshiriki
katika siku ya Mazingira Duniani kwa Kuendesha Baiskeri wakiwa katika
Hafla fupi ya Maadhimisho hayo Mnazi mmoja leo.
Picha na Fredy Njeje/Blogs za Mikoa
No comments:
Post a Comment