Social Icons

Monday 27 June 2016

TUKIO RASMI KATIKA PICHA: RAIS WA VoWET MAIDA WAZIRI AZINDUA UMOJA WA WANAFUNZI WA BIASHARA(BAA) ATOA SEMINA YA UJASILIAMALI, (TIA) DAR ES SALAAAM

Ikiwa unataka tengenezewa Blog, Tukiko lolote la Harusi,Msiba, Mahafali, Tamasha, Matangazo auHabari yoyote usisite kututumia kupitia whatsapp 0765056399 au Barua Pepe fredynjeje@live.com. Follow me instagram @frednjeje Twitter @Fredynjeje
Rais wa VoWET na Mkurugenzi Mtendaji wa IBRA Construction  Limited Bi. Maida Waziri akiongea na wanafunzi wa Chuo cha uhasibu TIA wakati wa uzunduzi rasmi wa umoja wa wanafunzi wa Biashara (BAA), ambapo aliwahimiza elimu wanayoipata wasiitumie kwenda kuombea kazi tuu lakini pia waitumie kwa ajili ya kufanya ujasiliamali. (Picha zote na Fredy  Njeje)

Rais wa VoWET na Mkurugenzi Mtendaji wa IBRA Construction  Limited Bi. Maida Waziri akikata keki ikiwa ni ishara ya uzinduzi rasmi wa umoja huo.
 Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya uzinduzi wa  BAA Gwamaka Andrew (Kushoto) akimmkabidhi Cheti cha Shukurani Mgeni rasmi Bi. Maida Waziri (Kulia)
 Mgeni Rasmi katika shughuli ya uzinduzi Rais wa V0WET na Mkurugenzi Mtendaji wa IBRA Construction  Limited Bi. Maida Waziri akisaini katika kitabu cha wageni
Wakieleka katika Sherehe hiyo ya uzinduzi
Wimbo wataifa ukiimbwa wakati wa Uzinduzi huo
Afisa Taaluma wa Chuo cha uhasibu TIA na Kaimu Mkurugenzi wa Chuo hicho Bw. Mugisha Kamala akitoa neno la utangulizi na shukurani kwa watu wote waliohudhuria katika uzinduzi huo.
Aliyekuwa Afisa Mipango wa BAA Alex Mujwahuzi akitambulisha baadhi ya Viongozi waliokuwepo katika uzinduzi huo
Afisa Mipango msaidizi mstaafu wa BAA Bi. Grace Samagoda akisoma risala kwa mgeni rasmi wakati wa uzinduzi huo
Aliyekuwa mwenyekiti wa BAA ambaye amemaliza muda wake Bw. Elisha Benard akitoa historia ya umoja huo
Mwenyekiti mpya wa BAA Bw. William Msemo akitoa neno la shukurani kwa kuchaguliwa pamoja na kuwaomba ushirikiano wanafunzi wenzake katika kipindi chote atakachokuwa madarakani.
Afisa Mwandamizi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF Bw. Delphin Richard akiwahimiza wanafunzi wa chuo cha TIA kujiunga na Mpango wa uchangiaji wa Hiari (PSS) ambapo pamoja na yote ataweza kupata Fao la Elimu.
Mratibu Mkuu wa Shughuli za kampuni ya Tone Multimedia Chande Abdallah akiwatambulisha wanafunzi wa chuo cha TIA blog ya wanachuo ya Matukio na wanavyuo ambapo mwanachuo yeyote atapata nafasi ya kupata matukio na Taarifa mbalimbali za wanavyuo nchini Tanzania.
Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya Uzinduzi rasmi wa umoja wa wanafunzi wa Biashara BAA Gwamaka Andrew akitoa neno la Shukurani kwa kufanikisha vema shughuli hiyo.
 Wanafunzi wa Taasisi ya uhasibu TIA wakitoa Burudani ya Nguvu
 Mhadhili kutoka Chuo cha Uhasibu masomo ya Biashara Bi. Asia Luowo (Kushoto) akikabidhiwa Cheti cha Shukurani na aliyekuwa Mwenyekiti Msaidizi wa BAA Bi. Maryam Seif (Kulia)
 Mwenyekiti Mstaafu wa BAA Bw. Bw. Elisha Benard (Kulia) akimkabidhi cheti cha shukurani Afisa Utawala wa Chuo cha Uhasibu TIA Bi. Beatrice Nkya
 Aliyekuwa Afisa Mipango wa BAA Bw. Alex Mujwahuzi(kushoto) Akimkabidhi zawadi Mgeni Rasmi Bi. Maida Waziri
Mhadhili kutoka Chuo cha Uhasibu masomo ya Biashara Bi. Asia Luowo (Kushoto) akabidhiwa zawadi na Irine Mbura ambaye ni mjumbe na katibu msaidizi wa BAA
 Wakajiachia
Wanafunzi wa Chuo cha Uhasibu (TIA) wakiwa katika uzinduzi wa BAA
 Mgeni Rasmi akipata picha ya pamoja na Baadhi ya Viongozi wa BBA waliomaliza muda na wale wa sasa
 Mpiga picha za tukio hili zima za uzinduzi wa umoja wa BAA Fredy Anthony Njeje (Kushoto) akipata Ukodaki wa Nguvu na Rais wa VoWET na Mkurugenzi Mtendaji wa IBRA Construction Limited Bi. Maida Waziri baada ya kumaliza tukio hilo.

 Picha zote zimepigwa na kuandaliwa na Fredy Njeje wa Mtamdao wa Matukio na Wanavyuo, Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote wasiliana nasi kwa namba 0765056399,0654221465 Whatsapp tu kwa namba 0629914471 au tuma barua pepe blogzamikoa@live.com 

Tuffolow instagram @matukionawanavyuo Facebook @mayukiona wanavyuo


No comments: