Timu ya Simba chini ya Umri wa Miaka 20 wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya mpira kuanza dhidi ya JKT Ruvu
Timu ya JKT Ruvu chini ya umri wa miaka 20 wakiwa katika picha ya pamoja kabla mechi haijaanza dhidi ya Simba
Mkurugenzi
mtendaji wa Faru Arts and Sport Development Organization (FASDO)
Tedvan Chande Nabora akikagua timu zote mbili kabla ya mpira haujaanza
Mpira
ukiwa unaendelea huku ikiwa ni vuta nikuvute ambapo JKT Ruvu waliibuka
washindi wa mabao 2-0 dhidi ya Simba, pia simba walikosa penalti.
Mgeni
Rasmi katika Mashindano ya mpira wa Miguu wa FASDO, Mkuu wa Wilaya ya
Ubungo Mh. Humphrey Polepole akiwa anafuatilia Mchezo huo
Mashabiki wa upande wa Simba wakifuatilia kwa makini Mchezo huo
Mashabiki upande wa JKT Ruvu wakiwa wanafuatilia kwa makini mchuano huo
Mkuu
wa Wilaya ya Ubungo Mh. Humphrey Polepole akionesha kombe pamoja na
zawadi ya mshindi wa kwanza kiasi cha Tsh 2,000,000 wakati wa fainali
hizo, zilizofanyika katika viwanja vya JMK jijini Dar
Refa Bora katika mashindano ya mpira wa miguu ya FASDO akikabidhiwa zawadi ya Kitita chake cha Laki moja
Washindi wa pili katika Mchezo huo timu ya Simba wakiwa wanapokea zawadi yao ya Tsh 1,000,000
Mgeni
rasmi katika fainali hizo Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mh. Humphrey
Polepole akikabidhi kitita cha Tsh 2,000,000 kwa nahodha wa timu ya JKT
Ruvu ambao ndio waliibuka kidedea.
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mh. Humphrey Polepole akikabidhi Kombe kwa timu ya JKT Ruvu baada ya kuibuka washindi
Wakiwa wanalipokea rasmi kombe lao baada ya ushindi
Mkuu
wa Wilaya ya Ubungo Mh. Humphrey Polepole (Kulia) akikabidhiwa zawadi
ya picha kutoka taasisi isiyo ya kiserikali ya FASDO
Timu ya JKT Ruvu wakifurahi baada ya kuibuka washindi.
No comments:
Post a Comment