Social Icons

Wednesday 12 October 2016

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI: TAMKO LA ASASI ZA KIRAIA JUU YA MAREJESHO YA SERA YA TAIFA YA ARDHI YA MWAKA 1995

 Mratibu wa Mradi wa Ardhi yetu kutoka CARE International Tanzania Mary Ndaro akitoa utangulizi wa tamko la Asasi mbalimbali za Kiraia zilizopo Nchini Tanzania juu ya maoni na mapendekezo yanayohusu marejeo ya sera ya Taifa ya Ardhi ya mwaka 1995
Meneja wa Programu ya ufugaji asili Tanzania Kutoka Jumuiko la Maliasili Tanzania akisoma tamko la asasi za kiraia juu ya Marejeo ya Sera ya Taifa ya Ardhi ya Mwaka 1995
Naomi Shadrack kutoka Shirika la Kimataifa la OXFAM Tanzania akielezea juu ya namna ardhi inavyoweza kusaidia kwa kizazi cha sasa na vizazi vijavyo
 Naomi Shadrack kutoka Shirika la Kimataifa la OXFAM Tanzania (kushoto) pamoja na Abia Richard Mwanasheria kutoka Women Legal Aid wakifuatilia Tamko hilo.
 Baadhi ya waandishi wa Habari na wadau mbalimbali wakiwa katika tamko hilo
 Mratibu wa Mradi wa Ardhi yetu kutoka CARE International Tanzania Mary Ndaro(wa pili kutoka kulia) akijibu swali juu ya jinsi wanawake wanavyoweza kupata Mkopo kwa kutumia ardhi walizonazo
 Beata Fabian Kaimu Mkurugenzi Haki Ardhi akizungumzia sababu za marejeo ya Sera ya Taifa ya Ardhi ambapo alisema moja ya misukumo ya kubadiri ni pamoja na migogoro ya ardhi iliyopo ni pamoja na Wakulima na wafugaji na kusisitiza Asasi za kiraia kuendelea kutoa Elimu juu ya Matumizi Bora ya Ardhi
 Mkutano na waandishi wa Habari ukiendelea
Picha zote na Fredy Njeje

No comments: