Social Icons

Wednesday 4 January 2017

BREAKING NEWS: NYUMBA YANUSURIKA KUUNGUA KWA MOTO SAE JIJINI MBEYA

Ikiwa unataka tengenezewa Blog, Tukiko lolote la Harusi,Msiba, Mahafali, Tamasha, Matangazo au Habari yoyote usisite kututumia kupitia whatsapp 0765056399 au Barua Pepe fredynjeje@live.com. Follow me instagram @fredynjejephotography Twitter @Fredynjeje
Nyumba moja iliyopo eneo la Sae Mbeya imenusurika kuungua kwa moto mchana huu, huku majirani wakidai chanzo chake kimesababishwa na hitirafu ya umeme.
Majirani waliokuwepo katika tukio hilo walidai kuwa waiona moshi ukifuka katika bati na ndipo walipo sogelea nyumbani hapo na kukuta tayari baadhi ya vitu  yakiwemo masofa, Tv, Radio na vyenginevyo vimeanza kuwaka moto na juhudi za kuokoa zikaanza.
Mpaka tunaondoka eneo la tukio tayari wasamalia wema walikuwa wamesha uzima moto.
 Baadhi ya vitu vilivyopona baada ya moto huo kuzimwa
 Moja ya Sofa likiwa limeungua kutokana na moto huo
 
Radio, Tv, Kabati pamoja na vitu mbalimbali vikiwa vimeungua
 Hii ni sehemu ya nyumba iliyotaka kuwaka moto
Picha na Blogs za Mikoa

No comments: