Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongela mara baada ya
kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Viongozi wa Dini mara baada ya kuwasili katika uwanja wa
ndege wa Mwanza.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwasalimia wakazi wa Kona ya bwiru katika barabara ya Airport wakati
akitokea uwanja wa ndege wa Mwanza.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwasalimia wakazi wa katikati ya jiji la Mwanza waliokusanyika
kumpokea.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akinunua
Karanga kutoka kwa Mmachinga anayefanya biashara katikati ya jiji la
Mwanza
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia
mkono washabiki waliohudhuria mechi kati ya Buhongwa United na Timu ya
Nyamwaga katika uwanja wa Nyamagana jijini Mwanza.
No comments:
Post a Comment