Social Icons

Wednesday 16 August 2017

TAFADHALI TAZAMA KISHA PIGIA KURA FILAMU HII ILI IPATE SHINDA


Siku zote kitu kizuri kinahitaji support kutoka kwa watazamaji,pls angalia short film ya MSAFIRI,binti aliyepewa barua na wanakijiji wenzake,ili aipeleke kwa Mh.Rais aweze kuwatatulia matatizo yao,Je!barua hiyo itafika kwa Mh.Rais John Pombe Magufuli?na Je!Rais anayajua matatizo hayo?
Angalia,like kisha comment kwenye Youtube,link ipo kwenye Bio yangu,kisha tuma Sms  V1 kwenda namba 0746 520610.

No comments: