Social Icons

Thursday, 31 May 2012

HOT NEWS: PICHA ZA iPHONE 5 ZA LIKI KABLA YA KUTANGAZWA KWA SIMU HIYO JUNI 11

It's coming! 9to5Mac has released this image, purported to be the iPhone 5. Features that can be spotted include a much larger screen, and a smaller dock connector
It's coming! 9to5Mac has released this image, purported to be the iPhone 5. Features that can be spotted include a much larger screen, and a smaller dock connector

leaked image gives us a first glimpse of the iPhone5 - and anyone who was waiting for a bigger screen may finally have their prayers answered.
Established Apple site 9to5Mac revealed a leaked image of what is claimed to be the iPhone5, and the site - which has a good record for reporting accurate leaks from Apple - has a plethora of details about the new model.
For the first time, the iPhone shakes off the 3.5inch screen-size, bowing to the latest generation of Android smartphones, which over the course of the last two years have shifted the typical screen from  three-to up to four or even five inches.
With Apple's Worldwide Developers Conference due in San Fransisco on Monday, June 11, iPhone fans are hoping to get either a glimpse or a confirmed release date in just a few weeks.

MTOTO AZALIWA NA VIDOLE 12 VYA MIGUUNI

'Gift': Deirdra Malone, of Memphis, Tennessee gave birth two months ago to a boy named Bobby Jr who has an extra toe on each foot
'Gift': Deirdra Malone, of Memphis, Tennessee gave birth two months ago to a boy named Bobby Jr who has an extra toe on each foot
'Healthy': The boy's six toes on each foot won't have to be removed for his case of polydictal because all the digits are fully formed and in good condition
'Healthy': The boy's six toes on each foot won't have to be removed for his case of polydictal because all the digits are fully formed and in good condition

'Six?': Ms Malone (pictured) and hospital staff didn't notice the baby's extra digits until they made footprints and realized he had 12 toes
'Six?': Ms Malone (pictured) and hospital staff didn't notice the baby's extra digits until they made footprints and realized he had 12 toes

'12-toed baby': The boy's mother said his extra toes made him 'a gift' she hopes will make him a football player or track runner with his special digits
'12-toed baby': The boy's mother said his extra toes made him 'a gift' she hopes will make him a football player or track runner with his special digits
Daily Mail

SAJUKI AFANYIWA UPASUAJI.

Sadick Juma Kilowoko ‘Sajuki’ hospitalini.
Na Erick Evarist
HATIMAYE, staa wa filamu za Bongo, Sadick Juma Kilowoko ‘Sajuki’ amefanyiwa upasuaji wa tumbo kufuatia matatizo yanayomsumbua, Amani limeambiwa na Wastara.
Akizungumza Jumatatu iliyopita kwa njia ya simu tokea Mumbai, nchini India alikolazwa mumewe, mke wa Sajuki, Wastara Juma alisema madaktari wamefanikisha upasuaji huo, lakini hali ya mgonjwa huyo ikawa mbaya ghafla.
Aliongeza kuwa kufuatia hali hiyo, maombi yanahitaji kwa Watanzania ili mumewe arejee katika hali inayotazamiwa na madaktari.
Hata hivyo, Jumanne iliyopita, Wastara alizungumza tena na mwandishi wetu ambapo alisema Mungu ni mkubwa, hali ya mumewe anatengemaa na ameanza kunyanyuka baada ya upasuaji huo.
“Hali imekuwa nzuri, sasa ananyanyuka si kama alivyotoka kwenye chumba cha upasuaji, lakini Watanzania wazidi kumwombea,” alisema mwanadada huyo.
Katika hali nyingine isiyokuwa ya kawaida, Wastara alisema akiwa hospitalini hapo, madaktari wameidaka kamera yake na kuiweka mapokezi wakimtuhumu kuitumia vibaya.
Walimwambia kuwa ni kosa kwa mtu kutumia kamera yake kupiga picha bila ridhaa ya utawala. Hata hivyo, msanii huyo alisema atarudishiwa kifaa chake hicho cha kuchukulia picha kwani alitoa barua kutoka Shirikisho la Filamu Tanzania ‘TAFF’ inayoonesha yeye ni msanii wa muvi nchini.
Sajuki, yuko nchini humo akitibiwa matatizo ya vimbe tumboni. Aliondoka nchini katikati ya Mei, 2012 kwa ajili ya kufuata matibabu.
Kwa hisani ya Global Publishers

United States 1 Brazil 4: Super starlet Neymar turns on the style in Maryland

Neymar scored one goal and set up two more as Brazil warmed up for the Olympics by thumping the United States 4-1 in a friendly at Maryland's FedEx Field. 
The Americans went into the game on the back of five straight wins but they were behind early on when Neymar slotted home a penalty after Oguchi Oneywu handled in the box. 
Dancing boys: Neymar (2nd right) leads the celebrations after his goal
Dancing boys: Neymar (2nd right) leads the celebrations after his goal
Getting stuck in: Clint Demspey lets Neymar know he's in a game
Getting stuck in: Clint Demspey lets Neymar know he's in a game
Neymar then delivered the corner for Thiago Silva to head home before Herculez Gomez halved the deficit with a header on the stroke of half-time. 
Brazil keeper Rafael, making his debut, kept the Americans out with handful of fine saves after the break and breathed a sigh of relief when Oneywu's effort hit the crossbar. 
But Neymar, the 20-year-old Santos starlet, provided the pass for Marcelo to restore Brazil's two-goal cushion and substitute Alexandre Pato completed the rout three minutes from time. 
Cheers: Marcelo (No 6) hails Neymar for his assist to make it 3-1
Cheers: Marcelo (No 6) hails Neymar for his assist to make it 3-1
Consolation: Herculez Gomez (2nd right) delighted the home crowd with his goal
Consolation: Herculez Gomez (2nd right) delighted the home crowd with his goal

Source: Daily Mail

LEO KATIKA MAHUSIANO:WANAUME WANAOONGOZA KWA KUVUNJA NDOA ZA WATU

NDUGU zangu, katika maisha ya sasa kuna watu flani ambao ukiona wana ukaribu uliopitiliza kwa mke wako, jua kuna jambo nyuma ya pazia na ukishangaashangaa unaweza kujikuta unamegewa penzi lako hivihivi.
Hiki nitakachokielezea leo nimekifanyia uchunguzi wa muda mrefu na kwa wale waliokumbana na hali halisi ya mambo, watakubaliana nami kwa asilimia zote. Juzi nilipata bahati ya kusuluhisha ugomvi wa rafiki yangu ambaye yeye na mkewe ni wafanyabiashara.

Chanzo cha ugomvi wao ni daktari mmoja ambaye inaonekana kwa muda mrefu amekuwa ‘akiitafuna’ ndoa yao na siku hiyo ndiyo ule msemo wa za mwizi arobaini ulipotimia. Rafiki yangu huyo alinasa sms kutoka kwa dokta huyo akitaka wakutane na mkewe siku hiyo.
Bahati ni kwamba, mwanaume huyo alikuwa akimpenda sana mke wake na hata nilipomshauri amsamehe waanze ukurasa mpya, alinielewa.
Lakini wakati hilo likitokea, jana yake nilisoma habari ya mke wa mtu aliyefumaniwa na kijana mmoja ambaye ni muuza genge mtaani kwao. Aibu ilioje kwa mwanamke huyo! Hivi inakuwaje mpaka mke wa mtu ambaye mume wake anahangaika juani kutafuta noti kisha mkewe huku nyuma anatoa penzi kwa muuza genge kirahisi? Hii inauma sana!
Matukio hayo mawili yalinifanya nifikie hatua ya kuandika makala haya juu ya watu wanaongoza kwa kusambaratisha ndoa za watu.
Muuza genge
Kuna tabia ambayo baadhi ya wanawake walio katika ndoa wanayo ya kubana matumizi yao ya kila siku kwa lengo la kuweka fedha za kufanyia mambo mengine baadaye.
Katika mazingira hayo wapo wanaojiweka karibu sana na watu hao wakiamini watapewa vitu vya bure kama vile nyanya, vitunguu nk. Wanawake wa sampuli hii wakikutana na wauza genge viwembe hawawezi kupona na ndiyo maana mwanaume anashauriwa kuwa makini sana na wauza magenge.
Mwalimu
Hapa nazungumzia zaidi walimu wa vyuoni. Baadhi yao wamekuwa wakiwarubuni wanawake kwa kuwaahidi kuwafaulisha kwenye mitihani na wamekuwa wakiwatishia kuwafelisha endapo watawachomolea. Hilo limekuwa likiwafanya baadhi ya wanawake wasio na msimamo kuwa tayari kwa lolote ili mradi wafaulu.
Dereva bajaji, teksi
Nani asiyejua kuwa baadhi yao wanaongoza kwa ukware? Kwa kifupi hawa ni miongoni mwa watu ambao mwanaume hatakiwi kukubali ukaribu uliopitiliza kwa wake zao kwani historia inaonesha wengi wao wamekuwa wepesi wa kuomba penzi hasa mazoea yanapovuka mipaka.
Muuza duka
Mama mmoja ambaye mume wake anafanya biashara za kusafiri mikoani alinaswa na mpangaji ambaye kwenye nyumba anayoishi mwanaume huyo ana duka. Baada ya tukio hilo ilibainika mama huyo alikuwa na tabia ya kuchukua vitu dukani hapo na siku hiyo alipotakiwa kulipa alimwambia kimasihara kuwa, yeye hana fedha kama vipi wamalizane kwa njia nyingine.
Kama mwanamke huyu alivyosema, wapo wake za watu ambao wamekuwa wakijirahisi sana kwa wauza duka wakijua itakuwa rahisi kwao kuambulia vitu vidogodogo na fedha. Kwa maana hiyo mkeo si wa kumruhusu kuwa na uhusiano wa karibu sana na wauza duka.
Mganga wa kienyeji
Wapo waganga wa kienyeji ambao ni wasanii tu. Katika hawa wanaodaiwa kuwa wasumbufu kwa wake za watu ni wale wanaojidai kutibu magonjwa ya kinamama.
Itaendelea wiki ijayo.

www.globalpublishers.info

Afande Sele atoa ujumbe wa mabadiliko

Tangu mfalme wa rhymes Afande Sele atangaze kuwania ubunge mwaka 2015, amekuwa akiitumia sana Facebook kutoa ujumbe maridhawa wa mabadiliko.
Alhamis hii rapper huyo ambaye jina lake halisi ni Seleman Msindi amewashauri wazazi kuwajengea watoto wao msingi wa mapema kuhusu chanzo cha umaskini nchini.
“Tujenge misingi mpaka kwa watoto wetu kuwa umasikini tulionao, unaletwa na wachache!! Na hatutaki wala hatupendi kuona wao wakiwa na maisha mabovu, ndio maana namuonyesha njia sahihi, ili wakati wake ukifika asihadaike”, ameandika Afande.
Katika ujumbe huo Afande pia amesema, “kuna wakati maamuzi madogo sana yanaweza badilisha maisha yetu daima!! Hakuna ubaya kuhitaji mabadiliko, kama yatakua katika njia sahihi.”
Ni mrefu tangu msanii huyo mkongwe aliyetamba na ngoma kama ‘Darubini’ na ‘Mtazamo’ hajahit kwenye radio jambo ambalo limemfanya avitupie lawama baadhi ya vyombo vya habari kuwa vinauua muziki wa Tanzania kwa kupendelea wasanii wachache.

Wednesday, 30 May 2012

Kifo cha Steven Kanumba: Serikali yakabidhi rambirambi ya Shilingi Milioni 10

Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mh. Amos Makalla akikabidhi kiasi cha shilingi milioni kumi kwa Mama wa marehemu Steven Kanumba ikiwa ni rambirambi ya Serikali kwa familia. (Picha na Benjamn Sawe wa WHVUM)

Facebook founder and CEO Mark Zuckerberg Akiwa anakula maraha na mkewe Priscilla Chan

High Tide: The couple rented the entire boat, which can fit up to 12 people and can travel up to 45mph, according to company Amalfi Tours
High Tide: The couple rented the entire boat, which can fit up to 12 people and can travel up to 45mph, according to company Amalfi Tours
Seaside: The first couple of Facebook has finally put their billions to good use during their honeymoon
Seaside: The first couple of Facebook has finally put their billions to good use during their honeymoon
boat

Plane Jane: He wore plane Adidas sandals and she traipsed alongside him in sneakers as the two boarded a Pershing 37 luxury vessel to view the coastline in all its glory
Plain Jane: He wore plane Adidas sandals and she traipsed alongside him in sneakers as the two boarded a Pershing 37 luxury vessel to view the coastline in all its glory
Adventure: Mark Zuckerberg has treated his new wife Priscilla Chan to a cruise around Italy's Amalfi Coast after spending two days exploring Rome
Adventure: Mark Zuckerberg has treated his new wife Priscilla Chan to a cruise around Italy's Amalfi Coast after spending two days exploring Rome

Receipt: He may have billions in the bank, but the Facebook CEO shared a bargain meal with his wife
Receipt: He may have billions in the bank, but the Facebook CEO shared a bargain meal with his wife

Source Daily Mail

GUINNESS WORLD RECORDS OF 2012. HAWA HAPA

Most number of people to fit into a pair of underpants.
Longest distance full-body burn without oxygen.
Denni Düsterhöft has run 120 m (393 ft. 8 in.) burning full-body without oxygen.
Most bottle caps removed with the head.
The most bottle caps removed with the head in one minute is 24. It was achieved by Ahmed Tafzi in Hamburg, Germany.
Fastest time to enter a suitcase.
It took 5.43 seconds for Leslie Tipton to enter a zipped suitcase.
Most needles inserted into the head.
Longest fingernails on a pair of female hands.
Most piercings on a male.
Longest tongue on a female.
Largest crocodile in captivity.
Longest ears on a dog.
Na MO Blog

DIAMOND KUTUMBUIZA KATIKA SHINDANO LA MISS CHANG'OMBE

Baada
ya  kufanya  show ya Big Brother  Afrika Kusini MSANII Abdul Naasib
‘Diamond’ni mmoja wa wasanii watakaotoa burudani kamambe kulipamba 
shindano la Redd’s Miss Chang’ombe 2012 shindano litakalofanyika Juni 9
mwaka huu  katika ukumbi wa Quality Centre barabara ya Nyerere Jijini
Dar es Slaam.

Wengine
watakaopamba shindano hilo la aina yake ni  kundi la Original Commedy
akina Joti na bendi ya mapacha watatu ambayo kwa sasa imekuwa moja ya
bendi zinayokonga  nyoyo za mashabiki wengi wa muziki hapa nchini.

Akizungumza
Jijini Dar es Salaam msemaji wa Kampuni ya King Promoters  ambao ndiyo
waandaaji wa shindano hilo Martin Mauya ameaema kuwa kwa sasa warembo
hao wameendelea kufanya mazoezi katika viwanja vya klabu ya TCC
Chang’ombe Jijini Dar es Salaam.

Shindano
hilo linatarajia kushirikisha warembo bomba 14 watakaopanda jukwaani
kuchuana vikali kumpata mrembo wa mkoa huo wa kimashindano wa Chang’ombe
huku baadhi ya wadau wa fani hiyo ya urembo nchini wakitabiri kuwa
mrembo wa Tanzania mara hii atatokea katika mkoa huo wa kimashindano.

Mauya 
amewataja warembo wanaotarajia kupanda jukwaani ni Elizabeth Mushi,
Restituta Faustine, Miriam Ntakisivya, Flora Kazungu, Flora Robert, 
Like Abraham, Clara Diu, Margareth Gerald, Jesca Haule, Deborah
Nyakisinda, Suzan Paul, Wensley Matius, Zulfa Bundara na Catherine
Masumbigana.

‘Kwa
sasa warembo hao wanafanya mazoezi na kurudi nyumbani lakini Juni 3
warembo hao wataingia rasmi kambini katika Hoteli moja kubwa Jijini
kabla ya kuapnda hiyo Juni 9’ alisema Mauya.

Shindano hilo limedhaminiwa na REDD’S
ORIGINAL, NEXUS CONSULTING AGENCY, DODOMA WINE, CXC AFRIKA, PAPAZII
INTERTAINMENT, KITWE GENERAL TRADERS,CHERISH, BEN EXPEDITION, SCREEN
MASTERS, ARDHI PLAN LIMITED.

MZUNGU ADAKWA AKIIBA FEDHA ATM ADAIWA KUCHOMOA MIL 35

Na Haruni Sanchawa

RAIA mmoja wa Bulgaria, Petez Ninkov, 32, (pichani) amenusurika kuuawa baada ya kudaiwa kuiba fedha katika mashine ya kuchukulia fedha (ATM) jijini Dar es Salaam.
Tukio hilo lilitokea hivi karibuni katika Benki ya Standard Chartered, Tawi la Ilala ambapo mzungu huyo aliponea chupuchupu kupigwa baada ya kuokolewa na polisi ambao walikuwa doria na haraka wakamkimbiza polisi.
Habari ambazo tumezipata zinaeleza kuwa, tayari amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala kujibu mashitaka ya kuiibia benki hiyo fedha taslimu shilingi milioni 35.
Ninkov amefikishwa katika mahakama hiyo kujibu shitaka hilo la wizi katika benki hiyo tawi la Ilala jijini Dar es Salaam.
Mwendesha mashitaka wa serikali, Aidah Kisumo alidai mahakamani hapo kuwa mshitakiwa alitenda kosa hilo kati ya Februari 6 na Aprili 4 mwaka huu.
Ilidaiwa mahakamani hapo kuwa, kati ya siku hizo mtuhumiwa aliiba Dola za Kimarekani 23,000 kutoka katika mashine ya kuchukulia fedha (ATM), mali ya Benki ya Standard Chatered huku akijua kuwa ni kosa.
Katika shitaka la pili Mwendesha mashitaka alidai kuwa, mtuhumiwa aliiba tena Mei 17, mwaka huu katika benki hiyo baada ya kupanga njama ya kutenda kosa hilo.
Hakimu anayesikiliza kesi hiyo, Tarsila Kisoka aliiahirisha kesi hiyo hadi Juni 6, mwaka huu na mshitakiwa ametupwa rumande baada ya kushindwa masharti ya dhamana ambayo ni kuwa na wadhamini wawili wanaotambuliwa na serikali ambao watasaini nusu ya mali iliyoibiwa.
Akizungumzia tukio hilo jana kwa njia ya simu, Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum Dar es Salaam, Suleiman Kova alisema ni lazima benki kuwa waangalifu kwa kuwa mbinu zinazotumika kwa wizi huo ni za kisasa. Ametoa wito kwa wananchi kutoa taarifa polisi wakimtilia shaka mtu yeyote aliye katika mashine za ATM.

Habari kwa Hisani ya Global Publishers 

Tuesday, 29 May 2012

WAREMBO WATAKIWA KUJITOKEZA KUIWAKILISHA TANZANIA MISS WORLD 2012.

Warembo wanaotaka kushindana katika shindano dogo la kumsaka mwakilishi wa Tanzania katika mashindano ya Dunia (Miss World 2012) wameombwa kuendelea kuchukua fomu za kushindana katika kinyang’anyiro hicho na kuzirudisha kabla ya Juni 4.
Mkurugenzi wa Lino International Agency, Hashim Lundenga (Pichani) amesema  kuwa wanatarajia kufanya mchujo wa washiriki Juni 5 kwa ajili ya kubakiza warembo 10 kwa ajili ya kuwania nafasi ya kushiriki katika mashindano ya Dunia yaliyopangwa kufanyika Agosti 18 kwenye ukumbi wa Dongsheng Fitness Center Stadium,  mjini Ordos, Inner Mongolia, China.
Lundenga alisema kuwa  zoezi hilo lilisimamishwa kutokana na zuio la Serikali na  wakati huo, jumla ya warembo 12 walikuwa wamekwisha chukua fomu za kushiriki. Alisema kuwa muda wa kufanya mashindano hayo umekaribia na wanatarajia kuitangaza tarehe mpya hivi karibuni.
Alisema kuwa amefurahishwa na kasi ya kuchukua na kurejesha fomu, hata hivyo wanahitaji warembo wengi zaidi ili kuweza kupata wigo mpana kwa ajili ya kumsaka mrembo atakayewania taji la Dunia ambalo kwa sasa lina mikononi mwa mrembo kutoka Venezuela, Ivian Sarcos.
“Tunakaribia kufanya mashindano madogo hivi karibuni, hivyo ni wajibu wetu kuwakumbusha warembo wanaotaka kuwania taji hilo kufanya hivyo kabla ya Juni 4 ili kuweza kuingia katika zoezi la mchujo,” alisema Lundenga.
Alisema kuwa mpaka sasa jumla ya nchi 84 zimekwisha pata wawakilishi wao kwa ajili ya mashindano hayo. Nchi 32 pamoja na Tanzania bado hazija chagua wawakilishi wao katika mashindano hayo.
 Fomu za kuomba kushiriki zinapatikana katika ofisi za Miss Tanzania za jijini na mawakala wote wa mashindano hayo katika mikoa ya Tanzania Bara.

SPRITE YADHAMINI KLINIKI YA KIKAPU

Mchezaji maarufu wa mpira wa kikapu na anyechezea ligi  ya NBA ya Marekani , Hasheem Thabeet akiongea  na waandishi wa habari (hawako pichani) kuhusu kliniki ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Sprite itakayofanyika katika viwanja vya Don Bosco, Upanga Dar es Salaam kuanzia Ijumaa Juni Mosi 2012. 
                            
Kaimu Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Kikapu Tanzania  (TBF) Michael Maluwe akizungumza na waandishi wa habari (hawako pichani)kuhusu  ya kliniki ya vijanai chini ya umri wa miaka 17 itakayofanyika katika viwanja vya Don Bosco, Upanga jijini Dar es Salaam kuanzia Ijumaa Juni Mosi mwaka huu. Kliniki hiyo imedhaminiwa na Kampuni ya Coca-Cola kupitia kinywaji cha Sprite. Katikati ni mchezaji wa Ligi maarufu duniani ya NBA  Hasheem Thabeet na kulia ni Meneja Bidhaa Msaidizi wa Coca-Cola Tanzania Warda Kimaro.

======  ======= =====
                           
SPRITE YADHAMINI KLINIKI YA KIKAPU

Zaidi ya vijana 200 kushiriki

Dar es Salaam 29 May 2012… Sprite, moja ya vinywaji maarufu vya kampuni ya Coca-Cola leo imetangaza kudhamini kliniki ya mchezo wa kikapu kwa vijana chini ya umri wa miaka 17 itakayofanyika kwenye kiwanja cha Don Bosco, Upanga, jijini Dar es Salaam kuanzia Ijumaa juni 1hadi June 2, chini ya mchezaji wa kimataifa wa mchezo huo Hasheem Thabeet. 

Zaidi ya vijana 200 kutoka mikoa sita watashiriki kliniki hiyo ambayo itatoa mafunzo ya awali ya mchezo wa kikapu kama vile kumiliki mpira na kutoa pasi. Katibu mkuu msaidizi wa Shirikisho la Mpira wa Kikapu nchini Michael Maluwe amesema kuwa washiriki watatoka mikoa ya Mwanza, Mbeya, Dodoma, Kilimanjaro, Arusha, Unguja na Pemba.

“Tunashukuru kupata fursa hii ya mafunzo ya awali kwa vijana ambao kusema kweli ndiyo uti wa mungongo wa maendeleo ya mchezo wa kikapu hapa Tanzania”, amesema Maluwe na kupongeza juhudi zinazofanywa na Coca-Cola kupitia Sprite za kudhamini shughuli za maendeleo ya mchezo wa mpira wa kikapu.

Hii ni mara ya pili kwa Sprite kudhamini kliniki ya kikapu kwa vijana chini ya ukufunzi wa Hasheem Thabeet. Kliniki kama hii ilifanyika mwaka 2010 kwenye uwanja huo huo wa Don Bosco na kushirikisha zaidi ya vijana 200 kutoka Dar es Salaam na mikoa mengine.

Thabeet ni nembo ya mafanikio katika mchezo wa mpira wa kikapu na ni mchezaji pekee kutoka Tanzania kuwahi kucheza kwenye ligi maarufu duniani ya NBA. “Najisikia fahari kupata fursa kama hii, kwa mara nyingine tena, ili kuweza kuwafundisha na kuwahamasisha vijana kucheza mpira wa kikapu. Naamini baadhi yao watachomoza kuwa wachezaji nyota siku za usoni”, alisema Thabeet ambaye yuko nchini tayari kuendesha kliniki hiyo. 

Kwa upande wake, Meneja Mzaidizi Bidhaa wa Coca-Cola Tanzania Warda Kimaro amesema: “Sprite inajisikia furaha kupata nafasi hii ya kusaidia maendeleo ya mchezo wa kikapu na tunaamini kwamba kliniki hii ya Hasheem Thabeet itawasaidia vijana kuelewa vitu msingi katika maendeleo ya mchezo wa mpira wa kikapu”. 

Sprite ilianza kudhamini mchezo wa mpira wa kikapu hapa nchini tangu mwaka 2010 na tangia hapo imeweza kudhamini shughuli mbali mbali za kikapu ikiwa ni pamoja na mashindano ya vijana mikoani, mashindano ya kanda ya tano, mechi za timu ya Marekani AND1 ambao walikuwa hapa nchini mwezi uliopita na kucheza mechi za kirafiki katika mikoa ya Mwanza, arusha na Dar es Salaam kwa udhamini wa Sprite. 

Mbali na kudhamini mashindano, Sprite pia imesaidia kuboresha viwanja wa mchezo wa mpira wa kikapu katika mikoa ya Dar es Salaam, Pwani, Dodoma, Mbeya, Mwanza, Arusha na Kilimanjaro.
HABARI KWA HISANI YA JIACHIE BLOG

WAREMBO WATAKIWA KUJITOKEZA KUIWAKILISHA TANZANIA MISS WORLD 2012.

Warembo wanaotaka kushindana katika shindano dogo la kumsaka mwakilishi wa Tanzania katika mashindano ya Dunia (Miss World 2012) wameombwa kuendelea kuchukua fomu za kushindana katika kinyang’anyiro hicho na kuzirudisha kabla ya Juni 4.
Mkurugenzi wa Lino International Agency, Hashim Lundenga (Pichani) amesema  kuwa wanatarajia kufanya mchujo wa washiriki Juni 5 kwa ajili ya kubakiza warembo 10 kwa ajili ya kuwania nafasi ya kushiriki katika mashindano ya Dunia yaliyopangwa kufanyika Agosti 18 kwenye ukumbi wa Dongsheng Fitness Center Stadium,  mjini Ordos, Inner Mongolia, China.
Lundenga alisema kuwa  zoezi hilo lilisimamishwa kutokana na zuio la Serikali na  wakati huo, jumla ya warembo 12 walikuwa wamekwisha chukua fomu za kushiriki. Alisema kuwa muda wa kufanya mashindano hayo umekaribia na wanatarajia kuitangaza tarehe mpya hivi karibuni.
Alisema kuwa amefurahishwa na kasi ya kuchukua na kurejesha fomu, hata hivyo wanahitaji warembo wengi zaidi ili kuweza kupata wigo mpana kwa ajili ya kumsaka mrembo atakayewania taji la Dunia ambalo kwa sasa lina mikononi mwa mrembo kutoka Venezuela, Ivian Sarcos.
“Tunakaribia kufanya mashindano madogo hivi karibuni, hivyo ni wajibu wetu kuwakumbusha warembo wanaotaka kuwania taji hilo kufanya hivyo kabla ya Juni 4 ili kuweza kuingia katika zoezi la mchujo,” alisema Lundenga.
Alisema kuwa mpaka sasa jumla ya nchi 84 zimekwisha pata wawakilishi wao kwa ajili ya mashindano hayo. Nchi 32 pamoja na Tanzania bado hazija chagua wawakilishi wao katika mashindano hayo.
 Fomu za kuomba kushiriki zinapatikana katika ofisi za Miss Tanzania za jijini na mawakala wote wa mashindano hayo katika mikoa ya Tanzania Bara.

MAAFA : WATOTO WATATU WA FAMILIA MOJA WAFARIKI KATIKA AJALI YA MOTO NA WENGINE ZAIDI YA 10 WAMEFARIKI KATIKA SHOPPING MALL MOJA DOHA

Tragedy: The Weekes triplets - Lillie, Jackson and Willsher - with parents Martin and Jane. The three children died in the shopping centre blaze
Tragedy: The Weekes triplets - Lillie, Jackson and Willsher - with parents Martin and Jane. The three children died in the shopping centre blaze
Injured: A policeman involved in the rescue efforts receives treatment at the scene
Evacuation: A man carries an injured boy on the roof of the Mall. A relative of a two-year-old boy who died in the blaze said there did not seem to have been any fire alarms or sprinklers inside the building
Injured: A policeman involved in the rescue efforts receives treatment at the scene (left) and a man carries an injured boy on the roof of the Mall. A relative of a two-year-old boy who died in the blaze said there did not seem to have been any fire alarms or sprinklers inside the building (right)
Panic: A firemen carries an injured girl from the roof of the Mall. At least 13 children and six adults have been killed after a fire broke out in an upmarket shopping mall in the Qatari capital Doha
Panic: A firemen carries an injured girl from the roof of the mall. At least 13 children and six adults have been killed after a fire broke out in an upmarket shopping mall in the Qatari capital Doha

Tragedy: Paramedics tend to an injured man on the roof of the Doha shopping mall. A Qatari government spokesman has confirmed that 13 children were among the dead
Tragedy: Paramedics tend to an injured man on the roof of the Doha shopping mall. A Qatari government spokesman has confirmed that 13 children were among the dead

Traders: Retailers based in the mall include many well-known Western brands, such as Foot Locker, Pizza Hut, Starbucks and British department store Marks & Spencer
Shopping: Retailers based in the mall include many well-known Western brands, such as Foot Locker, Pizza Hut, Starbucks and Marks & Spencer

Smoke: Witnesses say thick black smoke could be seen pouring from the mall around midday
Smoke: Witnesses say thick black smoke could be seen pouring from the mall around midday

Haze: A ministry official said that all buildings in Qatar abide by safety regulations 'with no exceptions' and that an investigative committee would be formed to look into safety requirements issues
Haze: A ministry official said that all buildings in Qatar abide by safety regulations 'with no exceptions' and that an investigative committee would be formed to look into safety requirements issues
Air ambulance: Paramedics and emergency personnel prepare to evacuate one of the victims via helicopter
Air ambulance: Paramedics and emergency personnel prepare to evacuate one of the victims via helicopter

Family members of the victim of a fire react in grief following the fire in a Doha shopping mall
The father of a child killed after a fire took hold of the Villaggio Mall
Family members of victims console each other following the fire in the Villagio shopping mall in the Qatari capital Doha
Grief: Family members of victims console each other after learning the terrible news
Grief: Family members of some of the victims console each other outside the building after learning the terrible news
Anguish: The father of one of the young victims breaks down in tears following the loss of his son
Anguish: The father of one of the young victims breaks down in tears following the loss of his son

Interior: A man races through smoke inside the mall building. A news conference is planned for later this evening
Interior: A man races through smoke inside the mall building. A news conference is planned for later this evening
Casualty: An injured person is wheeled away on a stretcher
Casualty: An injured person is wheeled away on a stretcher
Fight: Firemen extend water hoses into the mall to as colleagues wearing breathing apparatus enter the building
Fight: Firemen extend water hoses into the mall to as colleagues wearing breathing apparatus enter the building
Survivor: A man is given oxygen treatment as he is carried into an ambulance. The young victims included six boys and seven girls. Three were from the same family
Survivor: A man is given oxygen treatment as he is carried into an ambulance. The young victims included six boys and seven girls. Three were from the same family
Interior: The upmarket mall has an Italian theme complete with canals and gondolas. It opened in 2006 and is one of Qatar's most popular shopping and amusement destinations
Interior: The upmarket mall has an Italian theme complete with canals and gondolas. It opened in 2006 and is one of Qatar's most popular shopping and amusement destinations
The complex has an Italianate-theme complete with a canal and Venice-style gondolas as well as a hotel and an ice skating rink
The complex has an Italianate-theme complete with a canal and Venice-style gondolas as well as a hotel and an ice skating rink

Source Daily mail