Tanzania Football Federation
Affiliated to FIFA, CAF and CECAF A
Karume Memorial Stadium, UhurulShauri Moyo Road
P.O. Box 1574, Dar es Salaam, Tanzania . Telefax: 255-22-2861815
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
27 MEI 2012
Kamati ya Uchaguzi ya TFF katika kikao Chake kiiichofanyika tarehe 27 Mei 2012 ilijadili
mustakabali wa nafasi Za uongozä ndani ya Young Africans Sporîs Club (YANGA) ne
kupokea ushauri wa Kamati ya Sheria, Maadili na Hadhi za vvachezaji ya TFF kufuatia
kujiuzulu kwa wajumbe wanane (8) na kifo cha mjumbe mmoja wa Kamati ya Utendaji ya
YANGA. Kamati ya Uchaguzi ya TFF imetoa ufafanunizi na kuiagiza Kamati ya Uchaguzi
ya YANGA kama ifuatavyo:
(i) Kamati ya Uchaguzi ya YANGA ianze mara moja mchakato wa kujaza nafasi
ziäizowazi za wajumbe wa kuohaguliwa we Kamati ya Utendaji waliojiuzulu kwa
mujibu wa Katiba ya YANGA lbara ya 28 na nafasi iliyowazë kutokana na kifo
cha we Kamatá ya Utendaj.,
(ii) Mchakato we uchaguzi kujaza nafasi zilizowazi uanze tarehe 1 Juni 2012 na
ufanyike kwa kuzingaîia kikamilifu Kanuni za Uchaguzì za wanachama wa TFF.
(iii) Uchaguzi Wa viongozi Wa YANGA kujaza nafasi ziiizowazi ufanyika tarehe 15
Julai 2012 katika mkutano we uchaguzi, mahali patakapopangwa na Kamati ya
Uchaguzi ya YANGA kwa kushirikiana na Sekreîariati ya YANGA.
(v) Kamati ya Uchaguzi ya iandae na isimamie shughuli za uchaguzi kwa
kuishirikisha Seoretariati ya YANGA kwa mujibu wa Kanuni za Uchaguzi za
wanachama wa TFF chini ya usimamizi na maelekezo ya Kamati ya Uohaguzi
ya TFF kwa mujibu wa Katiba ya TFF lbara ya 49(1) na Katiba ya Ibara
ya 45(1) na (2).1
ebgratlas Lyatto
MWENYEKITE
KAMATI YA UCHAGUZI
SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA
No comments:
Post a Comment