Daah!! Hapa ilikuwa baada ya kupiga Libeneke wiki nzima sasa nimeamua kula mapumziko
Kama kawa mimi napenda sana kula Misosi , unajua Libeneke kazi kwa hiyo hapa nataka pata Misosi
Kama kawa nilipata nafasi ya kuzunguka kitaa kunyoosha miguu
Mara nyingi napenda sana kuingia changanyikeni kupumzika kuona watu mbali mbali na kupoteza mawazo.
Mie mpenzi wa Reggae Music hivyo niliingia zangu Humo ndani kupumzika, na jamaa kibao.
Mwisho wadau, napenda kuwashukuru kwa kuendelea kutembelea Libeneke langu pamoja sana
Mimi Muhabarishaji wenu wa Blog Hii
Fredy Tony Njeje
No comments:
Post a Comment