Social Icons

Monday, 26 October 2015

LEMBELI AANGUKA:- MATOKEO JIMBO LA KAHAMA MJINI.

Ikiwa una Tukiko lolote la Harusi,Msiba, Mahafali, Tamasha, Matangazo au Habari yoyote usisite kututumia kupitia whatsapp 0765056399 au Barua Pepe fredynjeje@live.com.

Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Kahama mjini kabla ya kutimkia CHADEMA James Lembeli na hapa alibebwa na wafuasi wa chama hicho mara baada ya kujitoa CCM.
Na Emmanuel Mlelekwa: JEMBE FM
Octoba 26,2015
KAHAMA
Mgombea  ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM katika jimbo la Kahama Mjini  Jumanne  Kishimba ametangazwa kushinda kiti hicho  na kuwashinda wapinzani wake James Lembeli kutoka chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA na Bobson Wambura wa chama cha ACT wazalendo. 

ZAIDI BOFYA PLAY KUSIKILIZA TAARIFA YA MSIMAMIZI WA UCHAGUZI.

 GSENGO

No comments: