Social Icons

Wednesday, 3 February 2016

'Birthday' ya Nicolaus Trac yafunika Maisha Basement

Ikiwa unataka tengenezewa Blog, Tukiko lolote la Harusi,Msiba, Mahafali, Tamasha, Matangazo auHabari yoyote usisite kututumia kupitia whatsapp 0765056399 au Barua Pepe fredynjeje@live.com. Follow me instagram @officialfredynjejeblog Twitter @Fredynjeje

IMG_7277
Meneja Masoko wa Maisha Basement, Gilla, akiwakaribisha Mfanyakazi wa Global, Nicolaus Trac (kushoto) akiwa na Video Queen wa Bongo, Kidoa Salum 'Akadumba', usiku wa kusherehekea siku ya kuzaliwa ya Nicolaus Trac uliofanyika usiku wa kuamkia leo Maisha Basement jijini Dar.

IMG_7292 IMG_7355
Kidoa akikata keki na Nicolaus.
IMG_7363
Msanii wa Filamu Bongo, Salima Jabu 'Nisha' (katikati) akiongea jambo, akiwa na DJ Choka (kulia) na Kidoa Salum (kushoto).
IMG_7359
Kidoa akisalimiana na Nisha.
IMG_7365
Nicolaus Trac akimlisha keki Nisha.
IMG_7368
Dj Choka akilishwa keki.
IMG_7308
Meneja wa Burudani wa Maisha Basement, Hemed Kavu 'HK' akimulisha keki Birthday Boy, Nicolaus Trac.
IMG_7311
Nicolaus akimlisha keki Clarence Mulisa.IMG_7330
Msanii wa nyimbo za utamaduni Bongo, Dati akilishwa keki.
IMG_7335
Meneja Masoko, Gilla 'The Boss' akilishwa keki.
IMG_7352
Meneja Masoko wa Global Publishers, Innocent Mafuru, akilishwa keki.
IMG_7323
Kidoa Salum akilishwa keki na shabiki wake.IMG_7325-001
Kidoa (kulia) akimlisha keki shabiki yake.IMG_7328
Musa Mateja (kushoto) akilishwa keki
IMG_7370
IMG_7376
Hemed Kavu 'HK' (kushoto) akimtambulisha Nisha kwa mashabiki wake (hawapo pichani) kabla ya kutambulisha muvi yake mpya ya 'Kiboko Kabisa' ndani ya Maisha Club.
IMG_7390 IMG_7394 
Nisha akionyesha mbwembwe zake kwa kucheza kwa madoido.
(PICHA: MUSA MATEJA/GPL)

No comments: