Social Icons

Wednesday 24 February 2016

Happy Birthday Abdallah Mrisho

Ikiwa unataka tengenezewa Blog, Tukiko lolote la Harusi,Msiba, Mahafali, Tamasha, Matangazo auHabari yoyote usisite kututumia kupitia whatsapp 0765056399 au Barua Pepe fredynjeje@live.com. Follow me instagram @fredynjejeblog Twitter @Fredynjeje


10407767_1007080585970819_4642943150278762133_n
Meneja Mkuu wa Global Publishers, Abdallah Mrisho.
LEO ni siku muhimu sana kwa Meneja Mkuu wa Global Publishers, Abdallah Mrisho ambapo anasherehekea siku yake ya kuzaliwa.Hivyo, uongozi na wafanyakazi wote wa Kampuni ya Global Publishers Ltd iliyopo Bamaga-Mwenge jijini Dar, unamtakia heri ya kuzaliwa Meneja Mkuu wetu, Abdallah Mrisho.
12729167_540816069426367_7128857001330784507_n
Abdallah Mrisho akiwa katika pozi.
Tunatambua mchango wako ni mkubwa sana kwa wafanyakazi wote wa Global Publishers Ltd na Tanzania kwa ujumla, hivyo tunakuombea miaka mingi zaidi, Mwenyezi Mungu akulinde, kukuongoza na kukupa nguvu zaidi ya kulifikisha taifa hili mbali. Happy Birthday Abdallah Mrisho!

No comments: