Social Icons

Wednesday, 24 February 2016

TRUE VISION PRODUCTION YATOA MAENDELEO KUHUSU KIPINDI CHA REDIO CHA WALINDE WATOTO, JIJINI DAR LEO

Ikiwa unataka tengenezewa Blog, Tukiko lolote la Harusi,Msiba, Mahafali, Tamasha, Matangazo auHabari yoyote usisite kututumia kupitia whatsapp 0765056399 au Barua Pepe fredynjeje@live.com. Follow me instagram @fredynjejeblog Twitter @Fredynjeje
 Neema Kimaro mratibu wa kipindi cha walinde watoto kutoka True Vision production akitoa taarifa kuhusu maendeleo ya kipindi cha Redio cha  Walinde watoto
 Mwandaaji mkuu wa Kipindi cha walinde watoto Bw. Kimela Billa kutoka True Vision Production  akitoa ufafanuzi wa jambo wakati wakitoa maendeleo ya kipindi hicho
 Fatuma Kampalamba Msimamizi wa huduma ya Simu kwa watoto #166 kutoka C-SEMA akieleza jinsi namba hiyo inavyofanya kazi na kutoa takwimu ya matumizi ya namba hiyo hasa kwa wale wanaoripoti juu ya maswala hayo kuhusu watoto.
Hizi ndizo Redio ambazo zimesambazwa vijijini kwa ajili ya watu kuweza kusikiliza vipimdi mbalimbali na hasa kile cha Walinde watoto, Redio hii inatumia umeme wa kawaida, Umeme wa Jua lakini pia unaweza ukaufua umeme kupitia kifaa maalum kilichopo nyuma ya Radio na Ikaanza kufanya kazi vizuri.
Baadhi ya Waandishi wa Habari wakiendelea na kuchukua mamtukio mbalimbali

Picha zote na Fredy Njeje / Blogs za Mikoa Tanzania

No comments: