Social Icons

Featured Posts

Monday, 22 August 2016

HONGERA KOMREDI DAVID MANOTI KWA KUUAGA UKAPERA

Bwana Harusi David Saire Manoti akiwa na Mke wake mpenzi Nezia Manumbu  Baada ya Kufunga Pingu za Maisha katika Kanisa la St. Peters Jijini Dar

Monday, 15 August 2016

#CIMATECHANGE :TANZANIA KUTUMIA DOLA MIL500 KUKABILIANA NA MABADILIKO YA TABIA NCHI


 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais,Muungano na Mazingira,January Makamba  akifungua warsha ya wadau wa kuhusu ripoti ya taarufa ya mchango wa Tanzania katika juhudi za kimataifa za kukabiliana na mabadiliko ya Tabia ya Nchi uliofanyika jana kwenye ukumbi wa Veta mjini Tanga kulia ni Kaimu Mkurungenzi wa Mazingira kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia pia mabadiliko ya tabia ya Nchi, Richard Muyungi na kushoto ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga,Mhandisi Zena Saidi

Maziko ya Mzee Aboud Jumbe Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Zanzibar

 Wananchi waliobeba jeneza la mwili wa Marehemu  Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mzee Aboud Jumbe Mwinyi yaliyofanyika Nyumbani kwake Migombani Unguja leo mchana,[Picha na Ikulu.]15/08/2016.

Saturday, 13 August 2016

PSPF YAPATA WANACHAMA ZAIDI KUPITIA MPANGO WA PSS KWENYE MAONESHO YA AIRTEL BAZAR JIJINI DAR

Hili ndilo Banda ambalo Mfuko wa Pensheni wa PSPF walikuwepo kwa ajili ya kutoa huduma mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuwaunga wanachama wapya katika mfuko huo kupitia mpango wa uchangiaji wa hiari PSS
(Picha zote na Fredy njeje-Blogs za Mikoa)
Watu mbalimbali waliofika katika sehemu ya Mfuko wa Pensheni wa PSPF wakipata maelezo ya huduma mbalimbali zinazotolewa na mfuko huo.

Thursday, 11 August 2016

JUST IN JIONI HII: DALADALA YA MAKUMBUSHO-KARIAKOO LAGONGANA NA LORI MITAA YA SINZA

Daladala iliyokuwa inatokea Kariakoo kuelekea Makumbusho imegongana na lori jioni hii eneo la Sinza Kamanyola ambapo mwanafunzi mmoja na dereva wameumia sana na abiria wengine kujeruhiwa , mpaka tunaondoka eneo la tukio tumeacha Jeshi la Polisi na wasamalia wema wanaendelea na shughuli za kuokoa, Taarifa zaidi itatolewa na Jesehi la Polisi.

#NAMULIKA JIJI : HUU UHARIBIFU WA VIFAA VYA KUHIFADHIA TAKA KATIKA VITUO VYA MWENDOKASI VEPEE?

Ikiwa ni Takribani miezi michache kupita tangia mabasi ya mwendo kasi yaanze kufanya kazi kwa ufanisi mzuri, kumekuwa na mambo kadha wa kadha yakiendelea ikiwa ni pamoja na kuharibika kwa miundombinu ya vituo hivyo vya mabasi hayo.

Hili limeonekana bila chenga Morogoro Road ambapo kipande cha kutokea Jangwani mpaka Manzese kikionesha wazi  vifaa vya kuhifadhia taka vimeharibika, huku vingine vikionekana kuchomolewa, kupinda, na kulegea. 

 Swali la kujiuliza hapa ni kwamba kwa jinsi miundombinu hii ilivyo kaa  ni ngumu sana hata mtu kugonga kwa mguu sasa inakuwaje inaharibika kiasi hiki?
Hapa upande wa kulia ukionekana kuwa kifaa cha kuhifadhia taka kilisha chomolewa na kubakiza mfuniko tuu na papo hivi kwa zaidi ya mwezi sasa.

RAIS DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI MAENEO MBALIMBALI AKIWA NJIANI KUELEKEA MWANZA MJINI

 Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na baadhi ya wanahabari baada ya kuhutubia maeneo mbalimbali akiwa njiani kuelekea jijini Mwanza

JUST IN: SERIKALI YALIFUNGA GAZETI LA MSETO

 
SERIKALI  YALIFUNGA GAZETI LA MSETO

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeamua kulifungia kwa miezi 36  gazeti la “MSETO”. Amri ya kulifungia  Gazeti hilo imetolewa kwa Tangazo la Serikali Na. 242 lililotolewa tarehe 10 Agosti, 2016. Uamuzi huo umetolewa kwa mujibu wa Sheria ya Magazeti ya Mwaka 1976 Sura ya 229, kifungu 25(1).

KULA MBOGA MBOGA ZINAZOMWAGILIZIWA CHEMBA ZA MAJI TAKA ZA VYOONI NA MAJUMBANI HAKUNA MADHALA KIAFYA NI KINYAA TU-MTAALAM WA KILIMO

Mtaalam mmoja kutoka Wizara ya Kilimo ameeleza kuwa watu kuogopa kula mboga mboga ambazo zinamwagiliwa na kwa kinyesi cha binadamu kutoka katika chemba mbalimbali za maji taka hazina madhara kwa afya ya mwanadamu isipokuwa watu huona kinyaa na kuhofia kupata maradhi.
Alisema kwamba kinyesi hicho pamoja na uchafu mwengine unaotoka kupitia chemba za vyooni huwa na virutubisho na kuongeza kuwa tatizo ni pale wanaposhuhudia umwagiliaji huo na kuona kwa macho yao , na kupata harufu mbaya inayotoka katika maeneo hayo.

Aliongeza kuwa athari anaweza akapata yule anayehudumia mbogamboga hizo kwa kuwa yeye ndiye anayeshika uchafu huo moja kwa moja pindi anapo mwagilizia na pia anapolima.
Hapa ni Sinza nyuma ya Shekilango na huu ni moja ya mtaro unaopitisha maji taka kutoka katika nyumba zilizopo katika eneo hilo na kutumika kwa ajili ya kumwagilia mboga mboga ambazo mwisho wa siku tunazikuta Gengeni na kutumia majumbani.

Wednesday, 10 August 2016

TUKIO RASMI KATIKA PICHA: VIJANA WAENDESHA MDAHALO KUJADILI CHANGAMOTO MBALIMBALI ZINAZOWAKABILI KUELEKEA SIKU YA KIJANA DUNIANI, KARIMJEE JIJINI DAR

Mwakilishi Mkazi msaidizi kutoka UNFPA Bi. Christine Mwanukuzi akifungua mdahalo huo, kuwashukuru vijana kwa kujumuika pamoja na kuwapongeza kwa kufanikisha mdahalo huo kuelekea katika siku ya vijana duniani siku ya tarehe 12.08.2016

Saturday, 6 August 2016

Dk.Kigwangalla atinga kwa Tabibu Juma Mwaka, aagiza ajisalimishe kwa Jeshi la Polisi ndani ya Masaa 24


DSC_3989Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamisi Kigwangalla akiwa na Mkaguzi wa TFDA, Dk. Itikija Mwanga wakiwa nje ya geti la kituo cha Tabibu Juma Mwaka, Ilala Bungoni, Jijini Dar es Salaam.

Patience Namadingo Dumps Bushiri, Turns Back To God: “Fools Are Those That Are Controlled By Those Who Have The Money”

Patience Namadingo, BushiriAfter literally exchanging his great talent with Prophet Bushiri’s money, Gospel music starlet Patience Namadingo has finally come to his senses and has since re-declared his allegiance to Jesus Christ alone.

Friday, 5 August 2016

MAMA SHUJAA WA CHAKULA ATEMBELEA ULAYA

 Mama Shujaa wa Chakula, Carolina Chelele (Kulia), Mkurugenzi wa Oxfam International Winnie Byanyima wakifanya mahojiano na vyombo mbalimbali vya habari baada ya kushiriki katika jukwaa la ‘European Development Days' - Brussels, Ubelgiji.

HADITHI YA KUSISIMUA: KIUMBE WA USIKU SEHEMU YA 1-7


“Naitwa Joy.. naishi Tandale. Abeeeh! Nina miaka 18,” hiyo ilikuwa ni sauti ya Joy akijibu maswali aliyoulizwa; akiwa katika moja ya vyumba vya gesti maarufu kwa jina la Kuyangatana Guest House na mzee mmoja wa makamo aliyeonekana kuvutiwa na maongezi kwanza kabla ya kufanya ngono.
Joy aliyeonekana hana muda wa kupoteza alianza kumvua nguo yule mzee, alitaka kumalizana na mteja huyo haraka na kurudi tena uchochoroni ambapo wenzake walikuwa wamejipanga kusubiri wateja wengine wa kiume wenye hamu ya kufanya nao mapenzi.
“Kwa nini unafanya biashara hii wakati wewe ni msichana mzuri ambaye hata naweza kukuoa kabisa,” aliuliza yule mzee huku akijitahidi kuhakikisha ile tomasatomasa ya Joy inatoa majibu sahihi ya kusimamisha mlingoti wake ili uvalishwe kinga na kuanza kuchapa kazi.
“Babu mimi sina cha kukujibu, naomba tufanye tulichokijia!” alijibu Joy kwa ukali na kuendelea kuutomasatomasa mlingoti wa babu hadi ulipoitika.

NAIBU WAZIRI WA ELIMU MH. MHANDISI STELLA MANYANYA AWA MGENI RASMI MAHAFALI YA BROOKHOUSE INTERNATIONAL SCHOOL JIJINI DAR

Mgeni Rasmi katika mahafali ya Shule ya awali ya Brookhouse International  Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi Mh. Mhandisi Stella Manyanya akitoa Hotuba kwa wanafunzi pamoja na wageni waalikwa